Spyter Investment LTD Company.
Pembejeo bora kwa mashamba yenye nguvu, Kulisha Mataifa
Mbegu ya mahindi-DEKALB
Hii inaitwa DEKALB ni mbegu zuli ya mahindi inafanya vizuri sehemu za baridi na sehemu za joto pia inastahimili ukame
Mbegu ya mahindi-TEMBO Seed co
Hii ni mbegu ya mahindi ya Seed co inaitwa TEMBO hii ni mbegu amboyo ina stahimili ukame inachukuwa mda mrefu kukokaa pia inafanya vizuri sana kanda zote
Maize Seed-ZAM SEED
Hii ni mbegu ya mahindi ya mahindo aina ya ZAM SEED ni mbegu nzuri sana pia ni mbegu ambayo inafanya vizuri kanda zote inakomaa baada ya miezi mitatu tu
Mbegu za Mahindi – T105
Ni aina ya mbegu za mahindi zinazokomaa mapema, hustawi katika maeneo mengi, hutoa mahindi mawili hadi matatu kwa mmea mmoja na huwa tayari kuvunwa ndani ya takriban miezi mitatu.
Mbegu za Alizeti – RECORD
Ni aina ya mbegu za alizeti zinazoota vizuri katika maeneo yote, zina kiwango kikubwa cha mafuta na hustawi katika mazingira mbalimbali ya kilimo.
Mbegu za Mpunga – SARO 5 (TXD 306)
Ni aina ya mbegu za mpunga zinazokomaa mapema, hustawi vizuri katika maeneo yote na hutoa mavuno mengi.
MAX-K
Husaidia kuongeza ukuaji wa mimea na kuboresha uzalishaji wa mazao.
GREEN GOLD
Hufanya kazi vizuri katika hatua zote za ukuaji wa mimea.
BYTER ALIZETI
Hutumika kuua magugu kwenye zao la alizeti katika hatua zote za ukuaji, ikiwemo palizi ya kwanza na ya pili.
TWIN
Pia ni dawa ya kuzuia na kutibu magonjwa ya fangasi shambani.
COPOXY
Hutumika kuboresha na kusaidia ukuaji wa matunda shambani.
Z-FORCE
Ni dawa ya kuzuia na kutibu magonjwa ya fangasi kwenye mazao na husaidia kudhibiti fangasi.
KOROVIL
Hutumika kutibu ugonjwa wa kutu kwenye aina zote za mimea.
FORCE UP
Hutumika kusafisha shamba na kuangamiza magugu kabisa kuanzia juu hadi kwenye mizizi.
IRON FORCE
Hufanya kazi kwa kuua wadudu waharibifu wa mboga kupitia mfumo wa mmea na mguso.
PROFENOFORCE
Hufanya kazi kwa kuua wadudu kupitia mguso.
MAHINDI-RA
Hutumika kuua magugu kwenye zao la mahindi katika hatua zote za ukuaji, kuanzia palizi ya kwanza hadi ya pili.
Oxen Gold
Hii ni dawa nzuri ya kuua magugu kwa kilimo cha vitunguu.
Tunaimarisha maendeleo katika sekta mbalimbali.
Tunatoa pembejeo bora za kilimo na huduma za ushauri wa kitaalamu zilizoundwa mahsusi kwa sekta zifuatazo:
Iringa, Tanzania
+255764917712
info@spyterinvestment.com
Spyter Investment LTD